betting

Princebreez

Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
54
Reaction score
32
msaada wa tactics na ujanja wa ku-win betting mimi ni mgeni wa hii michezo nifanyeje au niwe na nini chakunisaidia sio fans sana wa mpira kwaio ila naona nijalibu hii michezo nione kama ntaboa!
 
Apart ya kuwa bookies yaani kampuni ya kuchezesha hakuna guarantee.., kama ni kucheza cheza kama leisure ndio maana ikaitwa mchezo wa kamari (kucheza kamari) na sio biashara ya kamari (anayefanya biashara ni mchezeshaji)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…