Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 8, 2024 #21 Kindeena said: Huna lolote njaa tuu inakuuma dogo. Ukilambishwa sega la asali unabakia kimya kumung'unya Click to expand... Sikatai kula lakini uwe umepanda then ukavuna sasa nyie UWT na CCM kwa ujumla mnakula bila kupanda wala kuvuna asee, oneni aibu basi.
Kindeena said: Huna lolote njaa tuu inakuuma dogo. Ukilambishwa sega la asali unabakia kimya kumung'unya Click to expand... Sikatai kula lakini uwe umepanda then ukavuna sasa nyie UWT na CCM kwa ujumla mnakula bila kupanda wala kuvuna asee, oneni aibu basi.
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 Jun 8, 2024 #22 Benjamini Netanyahu said: Sikatai kula lakini uwe umepanda then ukavuna sasa nyie UWT na CCM kwa ujumla mnakula bila kupanda wala kuvuna asee, oneni aibu basi. Click to expand... Kula ni kula. Au kuna kula nyingine?
Benjamini Netanyahu said: Sikatai kula lakini uwe umepanda then ukavuna sasa nyie UWT na CCM kwa ujumla mnakula bila kupanda wala kuvuna asee, oneni aibu basi. Click to expand... Kula ni kula. Au kuna kula nyingine?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 8, 2024 #23 Kindeena said: Kula ni kula. Au kuna kula nyingine? Click to expand... Nyie mnakula mbengu
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Jun 8, 2024 #24 Michewen said: Mheshimiwa Ni mzoefu na anajua kazi ya uandishi vyema Click to expand... Sisi tunajua salim kikeke wewe unatuambua betty tena!
Michewen said: Mheshimiwa Ni mzoefu na anajua kazi ya uandishi vyema Click to expand... Sisi tunajua salim kikeke wewe unatuambua betty tena!
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Jun 8, 2024 #25 Benjamini Netanyahu said: Nafasi za kupeana zikome Click to expand... Zikome kwa Sheria ipi?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 9, 2024 #26 Andrew123 said: Zikome kwa Sheria ipi? Click to expand... Sheria zibadilishwe