donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Thanks Finest!Speaker we are on the same boat,someone who is either HE or SHE.
Thanks Finest!
Any he or she here? give us your candid opinion.We are waiting!
Speaker
Ungekuwa mwalimu, ningeandika jina langu kwenye pepa na kutoka nje maana maswali yako yangekuwa hayaeleweki!
U cant cheat MORe.
You only cheat Yourself.
Guys,letc be honest on this one. We all know dat mwamba ngoma ngoz huvutia kwake but lets be honest n speak the truth. Usiseme just kutetea jinsia yako,naomba 2wekane wazi kuhusu hili swala kwamba kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaongoza kutoka nje ya mahusiano yao? Iwe ni ndoa au courtship. Kila mtu ni wazi ana mtazamo wake kwaio ningependa 2jadili,na vilevile ni sababu zipi zinamfanya m2 kucheat?
You, and not we please!wanaume we knw how to cheat,kuanzia utongozaj styl hadi ndan ya relation