Between the line/s = Katikati ya mstari/mistari?

Between the line/s = Katikati ya mstari/mistari?

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,424
Reaction score
11,320
Ndiyo ni hiyo sentensi......."Between the line", nimeona mara nyingi inatafsiriwa kwa Kiswahili
kama "Katikati ya Mstari". Je hii ni sawa kwa kuangalia maana halisi ya neno hilo kwa Kiingereza?
Au kuna tafsiri fasaha kwa lugha ya Kiswahili?
 
Back
Top Bottom