Album mpya imetoka ni kali balaa usipimeee kuna kitu kinaitwa run the world girls,start over,party,na love on top utapenda kuisikiliza na kucheza big up beyonce amedai kuwa atakuja bongo kufanya uzinduzi wa album yake kama zawadi kwa watz kutimiza miaka 50 ya uhuru can't wait