At all kabisaNot funny.
Mda mwingi wanalazimisha kujificha. Tokea mwezi wa tano Beyonce kapotea katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kisa tu siku za kujifungua zi karibu. Alipojifungua mtoto wa kwanza alijificha miezi takriban sita bila kuonekana
kweli kabisa. kibongobongo kuzaa mtoto wakati una umri mkubwa kuna hatari ya kuzaa mtoto wa mitaaniTofautisha Bongo na huko kwa watu maan ht wazaz wakiondoka mtoto ana uhakika wa Ku exist lkn kwetu bila mwenywe kuwepo c ajabu familia yako kupotea kwenye uso wa Dunia mfano ulizia mapato wanayopata familia ya Marehemu Michael Jackson
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Amezaa vishetani tena
Hahahahaha labda muda bado hahahaMimba zao zinakua haraka ee,,kuna huyu Esha buheti hata hajifungui toka hata bey hajabeba mimba ye ana mimba mpaka bey kazaa ye bado tu
Linah je?Mimba zao zinakua haraka ee,,kuna huyu Esha buheti hata hajifungui toka hata bey hajabeba mimba ye ana mimba mpaka bey kazaa ye bado tu
Duh.. ahsante kwa kunichekesha.. eti Esha Buheti hajifungui 😀Mimba zao zinakua haraka ee,,kuna huyu Esha buheti hata hajifungui toka hata bey hajabeba mimba ye ana mimba mpaka bey kazaa ye bado tu