Beyonce na Jigga watu wakubwa duniani lakini wanatambua maana ya faragha,wanaficha baadhi ya mambo yao.
Yule Bibi wa Uganga na kiben10 chake tulioneshwa video hadi akiwa labor, loh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani!