Beyonce and James Earl Jones to feature in a Kenyan shot movie - Lion King

So physical settings r short! We ni ng'ombe mjane ajuza na tasa!
 
HAKUNA MATATA ni nembo ya KENYA
Kesho waTz mtasema na HARAMBEE ni ya kwenyu ,aibu tupu.
 
Bwahahaaaaa...msamiati wa ki nini eti...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kamuulize magufuli...pengine atakukariria utaelewa..manake akili zako haziwez muamini mtu mwengine zaidi ya magufuli...sana sana anapokuwa jukwaani
So you guess where? Ni msamiati wa kitanzania 100% Umekua ukitumika miaka nenda rudi na Watanzania kabla ninyi kuuparamia
 
Duh. James Earl John aka "King of Zamunda" bado yupo active tu?
 
So you guess where? Ni msamiati wa kitanzania 100% Umekua ukitumika miaka nenda rudi na Watanzania kabla ninyi kuuparamia
Blah blah blah , pia tabia mbaya ya kuwachinja albinos ilitoka Tanzania na omba omba wengi Nairobi wametoka Tzed.
 
Wakenya kwenye sector hiyo hpo mnatupiga bao!

Ova
 
Key word Inspired
 
Photo by Kenyan source!
So? You wanted a mzungu source? Aren't Kenyans allowed to be sources of their own material?

Baseline: palipo na moshi, pana moto

Various sources seem to conform Hell's Gate being the inspiration to Lion King. Not even one source mentions a Tanzanian connection.
 
Mnamsifia mzungu kutengeneza movie nyie kwanini nyinyi msitengenezee zenu mkazizundua ikawa big story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…