Beyonce kupata dolla million 50 kutokana na matangazo ya pepsi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwanamama Beyonce anatarajia kuweka kibindoni million 50 za kimarekani kutokana na matangazo kwa mwaka ujao.
Beyonce atafanya tangazo la pepsi kuanzia mwakani.
Kuna watu walibeza alipotoa euro million 5 kumnunulia saa jayz yenye madini ya almasi.nafikiri kuanza sasa mjue kwamba euro million 5 nipesa kidogo sana kwa beyonce.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…