Beyonce kushika mimba soon

acha kufuatilia maisha ya watu na wewe shika mimba tuone
 
sasa yeye ni nani mpaka asishike....!!!!!!!!!!!!!
 
Ikiwa huyu aliyepost huu uzi ni mwanaume basi atakuwa na homoni za kike...na anatumia muda mwingi kukaa na dada zake....
 
Kwa hiyo uchumi wetu utapanda kwa asilimia ngapi akipata hiyo mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…