MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwa hiyo uchumi wetu utapanda kwa asilimia ngapi akipata hiyo mimba?
Unalazimisha watu watembelee kablog kako eeeh..
nadhani ulitaka kusema kathread, kablog* duh
Tuvumie maana post za kupangiwa shule zimeshatoka watapungua tu humu
Ikiwa huyu aliyepost huu uzi ni mwanaume basi atakuwa na homoni za kike...na anatumia muda mwingi kukaa na dada zake....
ataishika kwa mikono au atatuma polisi wakaishike