Beyonce lip-synch national anthem during Obama's inauguration .

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Did you know that was recorded?beyonce is overrated
 
Yes, she killed it,l her perfomance was just gojazi.
 
She nailed it either way and I enjoyed her performance.:smiling:

Alitumia vyombo kufanya aimbe hivyo.na hakuimba it was recorded.Jeshi na vyombo vyake vimesema hivyo.wakaitengeneza sauti wakaichuja .She can't sing live
 
Yes, she killed it,l her perfomance was just gojazi.

Aretha ( queen of soul) anasema beyonce can't sing na amewaambia waandishi wa habari alicheka mno alivyosikia beyonce didn't sing it was fake sauti yake ilichujwaa wee na band ya jeshi.
 
Ooh no I liked it. So she is playing the famous Milli-Vanilli's game...it is disappointing.
 
no way jamani hapa beyonce nilimpenda sana serious nilifikiri angechemsha maana wakati vyombo vinapigwa nilifikiri anawaza lile kiss alilopigwa na obama. halafu mke wa obama yale manywele ya bandia lilimfanya aonekane sokwe kabisa wa africa sikulipenda aisee,
 


:becky:
 
Wivu Michelle obama jelousy na Kerry Washington .ndio Hilo wig wanawake tuna tabu
 
Reactions: UKI
Mbona uyo mke wa obama. mzuri tu hayo ma wig ya nini tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…