Beyonce photo ya Kiafrica

Mbona uso naona umeonekana kiafrika? au kapaka Kiwi?
 
Walimpaka makeups nyeusi ilia apate kuonekana muafrika waukweli nadhani ilikua ni project ya jarida fulani hivi
 
mi naona simjui beyonce, hafanani kabisa kwa sura acha iyo rangi
 
Mi naona its so fake hiyo picha, angeacha kupaka mkorogo (nasikia apaka kojic acid) for a week, a true african skin would have revealed.
 
Kwa hiyo sisi waafrika tunaonekana kama tumepakwa kiwi au?:A S 13:
 
hii ni dharau na ubaguzi wa kif.a.la .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…