Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 20, 2013 #61 charminglady said: Nakuona tu mnavochokonoa daddy angu... Ujue alikuwa best student kwa mwandiko mzuri tangu la kindagateni mpaka yunivaziti!!!!! :smile-big: Click to expand... Hebu baeleze bakuelewe douta...au hajui yule jamaa wa kwenye magazeti "Na Mwandishi Wetu" ndiye mimi
charminglady said: Nakuona tu mnavochokonoa daddy angu... Ujue alikuwa best student kwa mwandiko mzuri tangu la kindagateni mpaka yunivaziti!!!!! :smile-big: Click to expand... Hebu baeleze bakuelewe douta...au hajui yule jamaa wa kwenye magazeti "Na Mwandishi Wetu" ndiye mimi
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,097 Aug 21, 2013 #62 Mr Rocky said: Nicas Mtei alinipiga marufuku kuja mwanza eti nitakuona na nitakupenda bure wakati hajui kuwa tunapendana toka enzi hizo Click to expand... hahahahahaha kaka mkubwa unataka mi nionekane m baya ee? lini Mwanza sasa?
Mr Rocky said: Nicas Mtei alinipiga marufuku kuja mwanza eti nitakuona na nitakupenda bure wakati hajui kuwa tunapendana toka enzi hizo Click to expand... hahahahahaha kaka mkubwa unataka mi nionekane m baya ee? lini Mwanza sasa?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,374 Aug 21, 2013 #63 Nicas Mtei said: hahahahahaha kaka mkubwa unataka mi nionekane m baya ee? lini Mwanza sasa? Click to expand... Mkubwa sijui aise ila nimepamiss sana Mwanza mkuu Uko huko nini aisse
Nicas Mtei said: hahahahahaha kaka mkubwa unataka mi nionekane m baya ee? lini Mwanza sasa? Click to expand... Mkubwa sijui aise ila nimepamiss sana Mwanza mkuu Uko huko nini aisse
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,097 Aug 21, 2013 #64 Mr Rocky said: Mkubwa sijui aise ila nimepamiss sana Mwanza mkuu Uko huko nini aisse Click to expand... nipo Dar kaka... ukienda msalimie yule kijana B...namba yake ilipotea...
Mr Rocky said: Mkubwa sijui aise ila nimepamiss sana Mwanza mkuu Uko huko nini aisse Click to expand... nipo Dar kaka... ukienda msalimie yule kijana B...namba yake ilipotea...