Tetesi: Bharessa kuharibu uoto wa asili FUMBA-ZANZIBAR

Tetesi: Bharessa kuharibu uoto wa asili FUMBA-ZANZIBAR

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mji wa Zanzibar ambao pia ni nchi isiyo jitegemea , imekuwa kivutio kikuu cha utalii Africa na Duniani.

Fumba iliyopo kusini mwa Zanzibar, njia panda Dimani ilikuwa na uoto wa Asili , mikoko, minazi na mitondoo, lakini huyu mwekezaji kutoka Tanganyika amekata miti yote na kupanda minaazi, ameondoa uoto wa asili na kumekuwa kama jangwa.
Mamlaka husika imefunga macho, Raisi na wengine wamekaa kimya,

Fumba Town is built right on the shore of the Indian Ocean, offering a breathtaking sea view for each house. It is located 5Km from Zanzibar International Airport and 10Km from the ferry port, which makes it perfect connection point between the island and Dar es Salam for visitors and work commuters alike.

The Fumba Town Development combines state-of-the-art residential properties, based on sustainable infrastructure, with commercial educational and reactional areas to create a new modern lifestyle in Zanzibar.

fumbaaa.jpeg
fumba 22.jpeg
fumbaaa.jpeg
 
Mtoa hoja ahsante sana kwa kuonyesha kuwa una uchungu mno na ustawi wa mazingira yetu,please do your home work kasome ile ripoti ya mazingira kabla ya mradi huu kupata Baraka zake,then uje hapa na facts za upande wako,na pia panua wigo wako na soma (kama ipo )ya ule mradi wa Ujenzi wa kinu cha kufua Umeme pale Selous Game Reserve;ila ninakuhakikishia kuwa mradi huu uliouongelea hapa lazima una ripoti ya utafiti wa kimazingira.usikimbilie kulaumu kwenye soft touch huku uharibifu mkubwa wa mazingira ukifanyika upande wa pili na unafunguwa macho.
 
Hahah we hopeless kabisa, vichaka ni mawe?
Mkuu tumia maarfa
Maarifa ungeanza kuyatumia wewe , wivu umewajaa. Dar es Salaam yenyewe ilikuwa kichaka kitupu hapo. Haya piga kampeni muvunja majumba na barabara ili mrudishe kichaka. Shida yenu maeneo hamuyajui halafu mnajitia mnayajua.

Sasa sio kwa Bakhressa tu, kuna Fumba town development, na kuna project moja kubwa sana north of Zanzibar, Muyuni ambayo E.A nzima ni heshima. Sasa kama mnaumia poleni sana.
 
Mji wa Zanzibar ambao pia ni nchi isiyo jitegemea , imekuwa kivutio kikuu cha utalii Africa na Duniani.

Fumba iliyopo kusini mwa Zanzibar, njia panda Dimani ilikuwa na uoto wa Asili , mikoko, minazi na mitondoo, lakini huyu mwekezaji kutoka Tanganyika amekata miti yote na kupanda minaazi, ameondoa uoto wa asili na kumekuwa kama jangwa.
Mamlaka husika imefunga macho, Raisi na wengine wamekaa kimya,

Fumba Town is built right on the shore of the Indian Ocean, offering a breathtaking sea view for each house. It is located 5Km from Zanzibar International Airport and 10Km from the ferry port, which makes it perfect connection point between the island and Dar es Salam for visitors and work commuters alike.

The Fumba Town Development combines state-of-the-art residential properties, based on sustainable infrastructure, with commercial educational and reactional areas to create a new modern lifestyle in Zanzibar.

View attachment 1257574View attachment 1257567View attachment 1257574

Ama kweli dunia imekwisha. Yaani Bakhressa sasa amekuwa mtanganyika!!!!!!!
 
Tukiangalia vizuri tanzania kila mahali panafaa kutunza mazingira, hata hapo ulipo wewe pafaa kuwa hifadhi acha wapemba wapate ajira zao
 
Tukiangalia vizuri tanzania kila mahali panafaa kutunza mazingira, hata hapo ulipo wewe pafaa kuwa hifadhi acha wapemba wapate ajira zao
ajira alafu mnaanza kulia joto na maji kujaa baharini
 
Kingine miradi ipo miwili kuna Fumba uptwon living na Fumba development, so ni Bakhresa tuu ndo kaharibu uoto wa asili?
 
Miradi ya Bakhresa kuanzia Verde Hotel na hiyo Fumba kote zipo EIA, tena hapo Verde ripoti zipo wazi kabisa as sustainable greenest hotel, mtoa maada hauko sahihi
 
Mnataka Zanziba iwe kama Hong Kong halafu mnang'ang'ania miti isiyo na faida, Maendeleo yana yana gharama zake.
 
Miaka hii binadamu analilia akaishi porini tena mmh
 
Kwa vumbi lile la Fumba sijui mtoa maada kama kawahi kufika, nimesimamia huo ujenzi hapo hata kabla ya hizo lami ,
Sehemu ilikua duni mno
shida wala sio mazingira bali ni roho mbaya tuliyonayo watanganyika, roho zinauma kwelikweli kwa nini huo mradi uwe zanzibar sio bara, uhasidi ni maradhi mabaya sana.
 
Kwa vumbi lile la Fumba sijui mtoa maada kama kawahi kufika, nimesimamia huo ujenzi hapo hata kabla ya hizo lami ,
Sehemu ilikua duni mno
Usikute mleta mada na wenzake maji hawajayavuka wanayogopa afu wanajitia ujuaji
 
Back
Top Bottom