Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Charity begins at home, hii tabia atakua ameitoa kwa wazazi wake au kutokana na vinasaba vya familia yake, kufanya mapenzi hadharani kama nguruwe, na haya wani wengine
 
Eti wanawake ndiyo usawa huu tunataka? Bado sana wanaume watakuwa watawala wetu mpaka siku hiyo. Kale katoto hakana malezi toka kwa familia yake. Hivi wazazi wake wataweka wapi sura? Saa zingine tuwe tunaomba Mungu atutie nguvu, atufunge matumbo kama unabeba mimba uzae sampuli ile basi Mungu atie kitanzi.
 
Afadhali ametolewa, angeendelea kukaa angetutia zaidi aibu W-Tz. ujinga mtupu. nafukiri kuna haja ya kujitoa kushiriki kwenye hii BBA coz i dont see any importance ya hii kitu zaidi kuharibu kizazi chetu.... i hate BBA!!
 
Jamani kuweni fair, there were worse ppl kuliko yeye she stuck to one guy
 
bhoke alinisikitisha sana kwanza kununanuna,hana uchangamfu kama wengine bora hata yule kichaa lotus mwanaume akimletea ujinga anatembeza mkono,
 
nilishawahi kuuliza ni vigezo gani hutumika kumchagua mshiriki?
 
bhoke alinisikitisha sana kwanza kununanuna,hana uchangamfu kama wengine bora hata yule kichaa lotus mwanaume akimletea ujinga anatembeza mkono,


Si nilisikia kupigana hakuruhusiwi in da hauc...
 
huyu ndio alido kule BB?
jamani afadhali ametoka, ila sifa aioacha itadumu,
Mie lawama ziende kwa Multichoice, jinsi wanavyochagua washiriki, au hakuna wanaojitokeza?

lakini tukirudi nyuma maana/maudhui ya hii kitu ni nini? hili likijulikana na kufanyiwa kazi, basi tutapata wawakilishi wazuri, na hata wasiposhinda, watatuacha Tanzania proud.
 
Dah!Bora arudi tu tumgonge wenyewe ..kumbe akisha kata maji mahitaji yake ya kimwili yanaongezeka hahahahaaaaa....welcome back Bhoke ....we was micin u much...... mmmh!hivi yule jamaa siku ile alitumia ndom kweli?.
 
Angeshinda wengi wangemsifu katolewa tunamkashifu. acheni hizo.
 
Afathali wote wawili wamepigwa chini, Bhoke na Lotus ni washamba wachangamfu. Tatizo kubwa walilonalo ni kwamba wakinywa pombe chupi zinawabana. Kweeendraaa nyumbani kenge maji
 
 
Bora ametoka. Ameonyesha kuwa wadada wa kibongo wapo so cheap. Toka alipoamua kulazimisha penzi kwa Ernest ndo nikajua kuwa mwisho wake umefika.
 
We didn't feature strong contestants so i expected wasingefika mbali but i always ask myself kwanini tukituma wanawake BBA they don't last for long
Ni kweli wadada wote kutoka Tz waliowahi kwenda hawakuwa wanatupa burudani kama madume..latoya..kidogo liz alijitahidi hawa wa safari hii ndo kituko yule Lotus sijui alikuwa mvuta bange yule..Bhoke alikuwa cool sana ...afu tunakiwa tupeleke watoto wa ukweli sio magalasa
 
Sasa sijui kama atarudi tena kuendesha kipindi cha 5 Connect.........................maana image yake ndo imeshachafuka
 
yaani huyu aliniudhi sana alipopigwa kavu live yaani tena anasikilizia kabisa kitu kinavoteleza..agghh aliniudhi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…