Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Yaaani mimi NIMEMPENDA sana kwa kuwa anamsimamo na hayumbishwi na maneno ya midomo ya watu. Watu wanachonga sana utafikiri wao wana usafi gani, watu wanapiga kelele kwa vile wao hufanya mafichoni.
kumbukeni si nyie mlimtuma kwenda huko, kumbukeni pia hakuvunja sheria yoyote, mwacheni binti wa watu ni maisha yake hayawahusu. Wakati nyie mnanyooshea kidole kuna vidole vitatu vinanyoosheea wewe
 
Hivi kumbe ameshatolewa? maana hata siangaliagi! afadhali maana walikuwa wanatia aibu tu!! walishaniboa wote wawili. Na Lotus naye alitolewa au?
 
mhh unauhakika YoYo au umeamua tu kuwavunjia heshima dada zako....au ndo huo uraia wa Kenya hebu nitafute nikupe wa maana zaidi hata ukitukana unaeleweka
mashori wa tanzania ni malaya period
 
Sijui inakuwaje, mbona bongo kuna watu wenye akili zao timamu mnawapa wahuni bendera yetu, jamani angalieni tutaelewana vibaya haya.
 
kwamba hajutii inakera sana, hakuna haja kupeleka micharuko kule bora multichoice waiondoe tz kule. Ni zaidi ya aibu kuwakilishwa na wasichana bora wavulana
 
Yes, namuunga mkono, wala asijutie alivyofanya kule bondeni. Kwa sababu maji yakimwagika hayazoleki, iwe kwa kulia au kujiua. Anachopaswa kufanya kwa sasa ni kuyatumia matukio yale kama fundisho la maisha yake na wengine wajifunze kwake kwamba uamuzi wako unaweza kuleta madhara sio kwako tu bali kwa Taifa lako, achilia mbali ndugu zako na ukoo wako. Sasa mlitaka ajutie halafu iwe nini??

Hebu malizeni thread ya kumsema Bhoke na yaanze mambo mengine. Kuiendeleza thread hii kutaleta tija gani?? Mamoderators, mimi naomba mtumie busara za kawaida kuimaliza discussion hii. Kama kumsema kasemwa sana, kama kujifunza kafundishwa sana, kama kuumia sio lazima akuambie alivyoumia. Bhoke ni binadamu kama wewe na mimi, anazo hisia za kibinadamu na kwa hiyo anao wakati mgumu sana sasa hivi. Ujasiri wake ndio unaomfanya aendelee kuishi hadi leo. Namkumbuka dada mmoja ambaye alifyongo kidogo tu kule majuu, akahofia kwamba mambo yataenea hata nyumbani na kwa hiyo akajiua mara tu baada ya kurudi hapa. Alikuwa anahusiana na mtu mmoja maarufu sana simtaji, maana hata watoto wadogo wakisikia jina wanaelewa ni nani. Kifo chake hakikumaliza kosa alilolifanya kule ng'ambo, lakini tukampoteza mtu mmoja muhimu kweli kwa kada yake (wakati huo alikuwa anasoma).

Kwa hiyo kuendelea kusemasema mdada huyu ni sawa na kumfrustrate naye afikie kikomo cha ujasiri na kumterminate. Lazima tutakuwa tumeshiriki kumuua kwa maneno yetu. Kama unachukizwa na alichokifanya mwombee kwa Mungu ambadilishe na kumfanya kiumbe kipya alete maana zaidi. Wanaosemasema na wao wanafanya madudu lakini kwa kuwa hayajulikani wanajifanya wao ni watakatifu. Mshindwe kwa Jina la Yesu!!! Legea Kabisa wala roho ya kisasi iliyoko ndani yenu isiinuke tena!.
 
Mnampa kahaba umaarufu hapa JF, hebu tujadilini mambo yanayoumiza kichwa bana!!!
 
Asitudanganye anajutia sana ila anataka kujifanya mbishi lakini ukweli anao moyoni mi
nadhani watu waliosemea saikolojia watakua wanalifahamu hili kwa hiyo anataka kusema
akiamua kufanya upuuzi anafanya tu kisa ni bhoke kiukweli kaaibika yeye pamoja na ukoo wake
wote
 
Amesema hajutii kwani hajatumwa na watz alienda kama yeye. Malaya hana aibu
 
Someni mahojiano hapa chini. Source Bhoke Egina

Mimi nimeguswa na mambo haya:

1. The bubbly 26 year-old University graduate - Chuo gani hicho?
2.
Hollywood would be her first choice of places to visit as she'd like to see how movies are made - Yeye sitayari kafanya movie iliyopata waangaliaji wengi?
3. Kumbe ni mwigizaji, wa movie zipi? Zile ambazo under 18 hawatakiwi?
4. Passionate about children's rights - Moja wapo ya haki ni kutoonyeshwa picha za ngono na za kutisha
5. Mengine soma kwenye Red for contradictions

===================================================
Actor Biography

Bhoke Egina is a television broadcaster from Dar es Salaam, Tanzania, best known for being a contestant on the sixth season of the reality competition Big Brother Africa, in 2011.

Big Brother Bio

Bhoke is a popular face on Tanzanian television. The bubbly 26 year-old University graduate is also a huge fan of music and singing – though she is the first to admit that she can't really sing!

Bhoke says her favourite places in Tanzania are Bagamoyo and Zanzibar because they are peaceful, beautiful and have amazing beaches. She says the best thing about her country is "peace – Tanzania is the most peaceful country ever!"

She says her greatest achievement so far is being selected to be part of Big Brother Amplified – she entered the show because she wanted to see what it would be like to live life without any contact with the outside world and to challenge herself.

She says viewers should keep an eye on her because she is unpredictable, fun, she'll keep them guessing and she's a great person to be around.

Hollywood would be her first choice of places to visit as she'd like to see how movies are made. When she wants to relax, Bhoke enjoys just sitting on the beach.

Passionate about children's rights, she would rid the world of poverty if she could.
 
Huo msimamo unaouona ni wa kutunga na kujitetea ili watu wamuone ana msimamo ila ukweli hata wewe waujua kuwa.Tumeumbwa yale mambo yafanyike sirini.Wote wanafanya ila sio peupe.kama haogopi shuka lilikuwa la nini kujigubika
 
duuu ebwana eeh kumbe huyu btch alipigwa mjengo ndani ya jumba la bigbrother daa kweli haoni hata aibu hana tofauti na wanawake wanao jiuza barabarani mana ndio ambao hawaoni aibu kwa matendo mabaya wanayo yafanya duu shame on her umaarufu wabei rahisi kweli ni balaa aibu yake mwenyeweeeeee
 
anayemtukana bhoke ni kahaba achukue kioo kwa mda wa dk tano ajiangalie vzur alafu akoment,mmemshadadia dada wa watu,angekuja hapa na hela angesema,mbona mwisho ad rich walkuwa wanayafanya usku na mchana.NDIO HAYO NDIO MAISHA YAKE NA NAEKR BBA UNATAKIWA UWE REAL,TENA BORA HATA YEYE,WENGNE WANAZSHMDIA ASB,MCHANA NA JION.ACHEN ROHO MBAYA KWA MNYOOSHEA KDOLE MWENZENU.
 
Nimeona kule kwenye blog ya big brother wamemgaragaza vibaya aisee, hivi kwa nini ajifanye cheap vile?
Tena insider wanasema hata "dawa ya penzi" hawajatumia? Kwa kweli nimemshusha daraja sana huyu Mdada, ona walivoandika hapa:


SHAMELESS bhoke and ernest sex full
 
Nimekasikiliza. Kamenikera. Nakajua ila nilikuwa sijui kama ni kachafu hivyo na kanshangilia uchafu! Kashenzi tu hako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…