Jamani hivi kale kadada kaliowatia aibu dada zetu wa kibongo kwa kutingisha viguu badala ya mauno kule Big brother kako wapi siku hizi?? Naona kametemwa EATV lakini si vibaya tukijua kalipo kanaweza pata ajira mbadala kwani tushajua fani yake anayoiweza zaidi😛oa
acha ku assume kijana..we umeona wappi kua katemwa?? Bhoke yupo EATV na last month alikua ana host kipindi Nairobi..umbea tupunguze jaman..aliekwambia EATV wamemtema nani??
hivi huyu naye ni wa kupoteza muda kumjadili?hivi jamani mbona tuna mambo mengi ya muhimu kujadili?huyu kwanza si alisema hakwenda kuiwakilisha nchi alienda kwa mambo yake tu ya kupigwa brash au...