Uchaguzi 2020 Bi.Hamida Abddallh Mgombea mwenza CUF akiwa Kilwa kusini Kivinje: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

Uchaguzi 2020 Bi.Hamida Abddallh Mgombea mwenza CUF akiwa Kilwa kusini Kivinje: Tuchagueni Oktoba 28 tuwekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20201025-134411.png
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF


KILWA KUSINI-KIVINJE


Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!

Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania!

Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania!

Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
 
@#NIYEYE2020 atafanya, yote haya yapo kwenye ilani. 28.10.2020 hatufanyi makosa. Mitano kwanza.
 
Hivi CUF wameshafanya kampeni Pemba na Unguja?
 
Back
Top Bottom