CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Oct 25, 2020 #1 TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania! Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa na ajira Bora, yenye ujira bora na ya uhakika kwa kila Mtanzania! Haki ya kuwa tajiri kwa mapato halali kwa kila Mtanzania!
Malimi Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,287 Reaction score 2,743 Oct 25, 2020 #2 @#NIYEYE2020 atafanya, yote haya yapo kwenye ilani. 28.10.2020 hatufanyi makosa. Mitano kwanza.
Itoye JF-Expert Member Joined Sep 29, 2017 Posts 531 Reaction score 1,023 Oct 25, 2020 #3 Hivi CUF wameshafanya kampeni Pemba na Unguja?