CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
MWANZA
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate elimu, matibabu na vifaa vya kuwapunguzia dhiki ya ulemavu walionao na pamoja na kutoa mafunzo stahiki waweze kuajirika na kuajiriwa katika fani mbali mbali kwa mazingira bora zaidi kuliko ilivyo sasa.
Hii inatokana na ukweli kwamba zaidi ya asilimia 10 ya watanzania wote ni watu wenye ulemavu. Watu wenye ulemavu wana mahitaji ya msingi sawa na watu wengine na wana mahitaji ya ziada kulingana na aina ya ulemavu walionao. Watu wenye ulemavu watashirikishwa kikamilifu kupata suluhisho
Timilifu la changamoto zinazowakabili kwa kuwa CUF inaamini mfumo shirikishi kwa kila hatua.