Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha Gissima Nyamo-Hanga kutoa taarifa ya zoezi la Maboresho ya mfumo wa LUKU kwa wateja wa Kanda ya Kati na Kaskazini ambapo zoezi hilo litaanza rasmi kwenye mikoa ya Kanda hizo tarehe 26 Agosti, 2024.# MitaYakoTunaKaziNayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.