Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #61
California,Hakuna kitu kinachoitwa jina la kiislam au jina la kikristo. Kuna jina la kiarabu au 'kizungu'. Uislam umetumika kueneza tamaduni za kiarabu kama ambavyo ukristo umetumika kueneza tamaduni za kizungu. Matokeo yake utambulisho wa kiafrika umepotea kabisa sababu ya kuwa brainwashed.
LGF,Sheikh Mohamed Said: asante sana kwa hili, hawa ni mashujaa wa Nji hii. Ila nikusifie kwa jinsi unavyowatafuta mashujaa "wetu" - ema ni Manyema, au ni Waislamu. Aidha, kwenye Kitabu chako cha Sykes (in English) kuna Mwajuma Tarimo wa Kahe, Kidawa Maganga wa Shinyanga, Mwanahamisi Mollel wa Mto wa Mbu, Mwanamkasi Kigoda Handeni, Khadija Ngalula (huyu ni Mmanyema wa Coretco) - waungane na Bibu Titi Mohamed. Safi sana, walipigania Nji yetu siyo dini yao, ni wana TANU si maislamia EAMWS Aga Khan wa Pakistan.
On another nite, majuzi nilikuwa Songea kuna 5* Hotel inaitwa Nkosi Zwangedaba Hotel, nzuri sana. Who is he? What is Nkosi?
Tatizo huyu mtaalamu wetu malengo yake mahsusi hua inakua ni kuelezea zaidi inshu za kidini kuliko historia hapo lengo ni kumtambulisha HADIJA na ABDULRAUF na sio historia kuhusu mashujaa wa majiamajiKatika picha unakomaa na Abdulrauf Songea Mbano badala ya kutuonyesha shujaa wetu Bi. Khadija Nkomanile ambae ndiye main character wa huu uzi!🚶🚶🚶
Dudu...Tatizo huyu mtaalamu wetu malengo yake mahsusi hua inakua ni kuelezea zaidi inshu za kidini kuliko historia hapo lengo ni kumtambulisha HADIJA na ABDULRAUF na sio historia kuhusu mashujaa wa majiamaji
Bi Khadija kwa nionavyo mimi ni huyo wa kushoto kati ya wawili upande wa kulia nyuma.Amekaa mkao wa kike zaidi.
Dudu...hapana
Hapana Mzee wangu sio kwamba sipendezwi na historia hii lakini nilijaribu kuelewesha kwa mkosoaji aliepita kuwa lengo la mzee wetu ni kutupa ilmu zaidi kuhusu mashujaa wa kiislamu na harakati za uhuru wetu kifupi pamoja nakuandika mambo ya waislam maandiko yako yamenifunza mambo mengi sana na hili limepelekea hata kuangalia mahojiano yako kila ninapobahatika kuona ukihojiwa Itambulike kua ninaheshimu kila andiko lako Mzee
Schmidt,Jee, lini Padri Sivalon atatangazwa kuwa shujaa namba wani wa Waislamu Wakereketwa wa Tanzania kwa kuanika ukweli wa uonevu na ubaguzi dhidi ya Waislamu?
Yes hayo ni majina ya kiarabu sio ya kiislam. Ni Kama Roman Catholic ili ubatizwe mpaka upewe jina la kizungu au kimagharibi pambafu. Yaani ukiitwa Gwantwa, Anyimike au Ambakisye au Lusajo kule hubatizwi eti siyo jina la mtakatifu.Majina ya Kiislam au ya Kiarabu? Kumbuka Waziri wa mambo ya Nje wa Iraq wakati wa Saddam Hussein alikuwa mkristo mwenye jina la kiarabu "Tariq Aziz"