Bi. Margaret Kenyatta atoa wito wa amani kwa Wakenya

Bi. Margaret Kenyatta atoa wito wa amani kwa Wakenya

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mama wa taifa Bi. Margaret Kenyatta ametoa wito kwa Wakenya kudumisha amani wakati wa marudio ya uchaguzi wa Urais. Mama wa taifa alisema kwamba bado kutakuwa na nchi ya Kenya baada ya uchaguzi, na hivyo ni muhimu kudumisha amani. Akihutubia mkutano wa shirika la Maendeleo Ya Wanawake (MYWO), katika kituo cha Bura, kaunti ya Taita Taveta, Mama wa taifa alihimiza pia wapigaji kura wa eneo la Pwani kumchagua Rais Uhuru Kenyatta wakati wa marudio hayo ya uchaguzi wa Urais.

Mar-kenyatta-800x445.jpg

Alisema kwamba kura kwa Rais Kenyatta zitamwezesha yeye kuendelea na miradi yake ya kubadili maisha ya watu, kote nchini. Wakati wa ziara hiyo Mama wa taifa, alitembelea kijiji kimoja huko Taita Taveta, na kuzindua mradi wa ufugaji Kuku utakaonufaisha zaidi ya familia elfu-1 kwenye Kaunti hiyo. Bi. Kenyatta alisema mradi huo unalenga kuboresha maisha ya watu, hususan wanawake ambao ndio uti wa mgongo wa familia. Mradi huo ni ushirikiano kati ya ule wa ofisi ya Mama wa taifa wa (Beyond Zero) na “Ahadi Kenya”.
 
kenya atutawai pata kiongozi mwenye utu kama Uhuru,uchochezi wake kama ulivyo taja sijai ona.Vile najua uhuru ana utu
Chuki zimewafumba macho hawa jamaa, wakabila wakubwa ni hao. Mwenye uchochezi ni huyo huyo wanatemuita baba yao. Hili ni dhahiri kwa walio na macho yao mawili.
 
Chuki zimewafumba macho hawa jamaa, wakabila wakubwa ni hao. Mwenye uchochezi ni huyo huyo wanatemuita baba yao. Hili ni dhahiri kwa walio na macho yao mawili.
Sijawai skia baba akiita mtu
Mrogi
Shetani
Mgoroki
Coup plotter

Yeah sure .....give me one time Baba ametusi mtu live on TV ....i will wait!! ....

What ever you tell yourselves to make your side look holy Tell yourself!!
 
Huyo Baba yenu Raila alifika kwetu Kajiado County kisha akasema eti 'aliens', wakikuyu yaani wasikubaliwe kununua mashamba au kuwa na mali Kajiado kwa sababu huko si kwao. Sijamskia hata siku moja rais Uhuru Kenyatta akieneza chuki kati ya wakenya. Kama ni matusi Raila amekuwa akimtusi na kumdhalilisha rais tangia miaka mitano iliopita. Sasa ameitwa mwendawazimu ndo imemuuma?
 
Sure Moi ako na 40000 acres kajiado
Uhuru and family 660,000 acres Country wide
129,000 acres in Taita Taveta alone
Gedion Moi ako na kedo 19,000 acres countrywide
Baba ya Kihika ako na kedo 12,000 acres in Nakuru (maybe he sold)
But unataka kuji equate na ur one acre eti wewe ndio alien!!...ok.....

Narok county Borders Kisii and Nakuru Nairobi Tanzania Migori Kisumu Kajiado and Kitui Counties
Wakisii wamejaa na the law clearly allows Kenyans to buy and sell land as they please....but somehow Mnatwist maneno ilizifollow your own Narratives....

FYI bado haujanipea Tusi moja

Unaweka blanket accusation kuwa "ameshinda akitusi Uhuru" lini???

And do you know the purpose of oppostion??? To oppose government!! If Raila is good at it dont blame the player blame the Game .......

Hamuelewi vitu simple ndio maana mnawaita majaji wakora ....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom