Bi Mkubwa Kawapa Kichambo Majirani Na Wao Wamejibu

Hujaelewa wapi?Labda tuanzie hapo kukuelewesha
Yaani nani kaanza kusema, mama au wakenya?!! Na hivyo viingereza vya kuongelea gizani Ina maana gani? Nani ana njaa (Hana punga)?!! Comments hizo za kiingereza ni za kumpongeza au kuponda mama yetu kama kawaida yao?!!
 
Kichambo Kiko hivi,Mama kawananga majirani,hawana unga wala umeme,wamebaki kuongea na kiingereza chao gizani.Sasa hapo chini majirani ndio wanachangia hiyo hoja.Hizo attached ni comments za majirani.
Mytake:Kwa jinsi ulivyo na kichwa kigumu bila shaka wewe ni askari wa kituo cha kati.Manake Askari polisi wengi ni division 4 ya Kidato Cha 4🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…