Bi Mongella: Kama taifa hatuna falsafa inayotuongoza

Bi Mongella: Kama taifa hatuna falsafa inayotuongoza

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?"

Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
 
Akizungumza katika kongamano huko chato kada huyo wa siku nyingi wa ccm, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
Angetoa mifano ya wengne ingesaidia
 
Kwa hiyo ndio ulitaka kusemaje philosopher?
 
hawa wazee mbona huwa hawatokei yanakemea haya yanaendelea nchini, kwa mfano uchaguzi ulivurungwa vibaya mno kuwanzia uandikishaji, uteuzi wa wagombea, upigaji wa kura hadi utangazwaji wa matokeo - lakini hatukusikia mzee hata mmoja wa CCM akasimama akatoa neno - wote kimya!

Sasa tumeamua wenyewe kwa wenyewe kudai haki hiyo kupitia Katiba mpya. asiyetuunga mkono basi ni mfaidika wa mfumo uliopo.

Wazee tuacheni kwanza, tuna jambo letu kabla ya 2025... hima himaaaaaa wote jibuni Katiba mpyaaaaa
 
Akizungumza katika kongamano huko chato kada huyo wa siku nyingi wa ccm, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
Very true...Raia wa nchi hii kila mara tupo kama on transition hatujui kesho tunaelekea direction ipi...Mara ujamaa, mara ubepari mara haijulikani basi vurugu tu!
 
Falsafa haijawahi kuwa tatizo nchi hii. Huyu bibi asitutoe kwenye reli. Falsafa iwe ni ujamaa, ukomunist,ubepari, ubeberu, ama uchifu sisi tunataka katiba mpya.....kwenye katiba ndimo kutabainishwa falsafa ya nchi
 
Very true...Raia wa nchi hii kila mara tupo kama on transition hatujui kesho tunaelekea direction ipi...Mara ujamaa, mara ubepari mara haijulikani basi vurugu tu!
Huyu asitusumbue bana,amekaa kwenye mfumo tangu binti leo amekuwa mzee,alifanya nini ili il kuipata hiyo dira? Kwanza hawa ndo wametuchelewesha sana.
 
Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?"

Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
Siku akikutana na Wagiriki awaulize swali hilo watamjibu kwa ufasaha sana. Nadhani yeye ndiyo alitakiwa anawaeleze watoto falsafa ya Taifa ni nini, na si kuwauliza. Kama siku zote hizo amekuwa Kiongozi na yeye akiwa haijui falsafa ya Taifa, watoto wataijuaje sasa?
 
Back
Top Bottom