The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Angetoa mifano ya wengne ingesaidiaAkizungumza katika kongamano huko chato kada huyo wa siku nyingi wa ccm, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
Very true...Raia wa nchi hii kila mara tupo kama on transition hatujui kesho tunaelekea direction ipi...Mara ujamaa, mara ubepari mara haijulikani basi vurugu tu!Akizungumza katika kongamano huko chato kada huyo wa siku nyingi wa ccm, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
Huyu asitusumbue bana,amekaa kwenye mfumo tangu binti leo amekuwa mzee,alifanya nini ili il kuipata hiyo dira? Kwanza hawa ndo wametuchelewesha sana.Very true...Raia wa nchi hii kila mara tupo kama on transition hatujui kesho tunaelekea direction ipi...Mara ujamaa, mara ubepari mara haijulikani basi vurugu tu!
Siku akikutana na Wagiriki awaulize swali hilo watamjibu kwa ufasaha sana. Nadhani yeye ndiyo alitakiwa anawaeleze watoto falsafa ya Taifa ni nini, na si kuwauliza. Kama siku zote hizo amekuwa Kiongozi na yeye akiwa haijui falsafa ya Taifa, watoto wataijuaje sasa?Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?"
Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.