Bi. Shariffa bint Mzee: Mmoja wa waasisi wa TANU Lindi na shujaa wa kupigania uhuru wa Tanganyika

Bi. Shariffa bint Mzee: Mmoja wa waasisi wa TANU Lindi na shujaa wa kupigania uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
20140822_133841.jpg


Bi. Shariffa bint Mzee Katika Ujana Wake Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

''...Mnonji contacted Lawi Nangwanda Sijaona who was at that time living in Newala to come to Lindi and advise TAA on how to organize effectively. Mnonji was a well-to-do African. He was the main supplier of government uniforms in the south. Through this business he was able to own three houses in Lindi and when TAA was transformed to TANU he donated one of his houses as the first TANU office in Lindi, and probably the first in Southern Province. Mnonji's influence did not end there; one of his two wives, Bibi Zaituni Fadhili, was also involved in politics during the struggle. Bibi Zaituni Fadhili and another woman, Bibi Shariffa bint Mzee, were among early women activists in Lindi. Bibi Zaituni Fadhili died in 1995 as a serving member of parliament...


(From ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)...''


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
20140822_134140%2B%281%29.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bi Shariffa bint Mzee Katika Siku Zake za Mwisho Akiwa na Amempakata Kitukuu Chake.
Alifariki Mwaka 2009 na Kuzikwa Kimya Kimya Mjini Dar es Salaam.

(Picha Kwa Hisani ya Wanae)

Hapa chini nimeweka ''notes'' zangu nilizotumia katika kuwasilisha
mada kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Angalia jina la Bi. Shariffa bint Mzee...

24. Selemani Mamba, Kinjiketile Ngwale, Songea Abdulrauf Mbano, Mataka Masaninga, Suleiman Masudi Mnonji, Bi Shariffa bint Mzee, Ali Naliwanda, Sheikh Mohamed Yusuf Badi
25. Sheikh Abdallah Sembe, Mwalimu Kihere na Uchaguzi wa Kura Tatu, 1958
26. Mkakati wa Tanga na Tawasul Mnyanjani, 1958
27. Mkutano wa Tabora, 1958

Ut2JJgU5-EenyYl_qBVsgaBfz8rXMkVpLH6WPpcxR6w=w781-h577-no
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
Ahsante gwiji wa historia Tanzania kwa kuendelea kutupa Habari zilizofichwa kwa makusudi.
 
Ahsante gwiji wa historia Tanzania kwa kuendelea kutupa Habari zilizofichwa kwa makusudi.

Mfumo,
Tunajitahidi kuhifadhi historia hii isipotee kwani ni hazina kwa vizazi vijavyo.
 
Mohamed Said tafadhari weka kitabu hiki kwenye Internet naona tunamis mengi ya muhimu.
 
Mohamed Said tafadhari weka kitabu hiki kwenye Internet naona tunamis mengi ya muhimu.

Nnangale,
Hiki kitabu kwa Kiingereza na Kiswahili karibuni kitakuwa madukani.

Fanya subra na In Sha Allah tutafahamishana.
 
Back
Top Bottom