Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Bia ni kifungua kinywa bora, siri moja ya kifungua kinywa hiki ni kunywa beer moja tu. Wengi wanaharibu hapa kutaka ya pili na ya tatu. Ukishaongeza ya pili umevunja mwiko.
Unaweza kushushia na matunda au na mayai mawili ya kuchemsha. Kama unafanya mazoezi unaweza kupata full English Breakfast na pint moja ya beer. Unaanza siku vizuri sana.
Wa Irish walianza kutumia breakfast hii miaka mingi sana. Walipohamia America walianza kuvunja mwiko na kuanza kunywa pint mbili au zaidi, ilipelekea kuanza kusinzia kazini. Wamarekani waliwaambia kahawa ndiyo kifungua kinywa bora.
Jaribu hii utaona ufanisi wako unavuoongezeka.