Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu Uzi sidhani kama unauhusiano na hiki lkn ungeweka link ingekuwa bora2daySky Social media - تطبيقات Android على Google Play
Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika
Ungeanzisha thread yako dear, mana hapa pombe huku teknolojia tushike lipi2daySky Social media - تطبيقات Android على Google Play
Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika
Ungeanzisha thread yako dear, mana hapa pombe huku teknolojia tushike lipi
Lakini anheanzisha yakwe mwenyewe bado watu tungeisoma vile vileAnaangalia thread yenye mvuto ndo anatupia tangazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss nakugawa. Au adangie Bavaria beer yenye alcohol ile. Dadadeq ataona Masaa ndio hayaenda bia iko pale pale. Atamwaga mwenyeweeeeeeHahahhahaha Tena bora unywee kubwa sio vile vidogo cha kukushaur uwe unadangia konyagi Kwa uchungu ule haiwez kuisha haraka
Mtalaam hadi nyagiHahahhahaha Tena bora unywee kubwa sio vile vidogo cha kukushaur uwe unadangia konyagi Kwa uchungu ule haiwez kuisha haraka
Na ukidangia konyagi watu watakuogopa jaman ukidangia savvana unaonekana tajir sjui udangie Kilimanjaro nayo ikiwa ya baridi inateremka fasta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss nakugawa. Au adangie Bavaria beer yenye alcohol ile. Dadadeq ataona Masaa ndio hayaenda bia iko pale pale. Atamwaga mwenyeweeeeee
Kwan kuna mtu kaibiwaMtalaam hadi nyagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dangia balimi basiNa ukidangia konyagi watu watakuogopa jaman ukidangia savvana unaonekana tajir sjui udangie Kilimanjaro nayo ikiwa ya baridi inateremka fasta
Ya kwake imedoda kule,unadhani hajafungua??kafungua lakini comment hazitembei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini anheanzisha yakwe mwenyewe bado watu tungeisoma vile vile
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwan kuna mtu kaibiwa
Hiyo itamfaaa sana aliyeleta uzi mm hata sijawah onja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dangia balimi basi
Ooh maskini!! Basi kwa mana hiyo ana stahili kufanya hayaYa kwake imedoda kule,unadhani hajafungua??kafungua lakini comment hazitembei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii si sawa..Habarini za leo wadau wa maendeleo ya Teknolojia , leo nimeleta jukwaani mfumo wa mawasiliano ( social media ) , iliyo tengenezwa na wazalendo wa kitanzania. ( 2daySky )
Mara kadhaa vijana wa kitanzania wamekuwa wakijituma kuondoa utegemezi wa teknolojia za hali ya juu kutoka mataifa ya nje.
Vijana wetu wametengeneza mtandao ambao hadi sasa una maelfu ya watanzania . Ki ukweli watu wamekuwa wazalendo halisi kwani ni mafuliko makubwa sana ya watanzania wamejiunga.
Mimi naona huu ni wakati sahihi kuwaunga mkono kwa hali na mali .
Tanzania ni yetu moja , tuonyeshe uzalendo kwa kujali vya nyumbani.
Kama uliwahi kuona mtandao huu wiki moja iliyopita . basi kuna mabadiliko makubwa kupindukia , yaliyofanyika. https://play.google.com/store/apps/details…