Bia ya kudangia huisha haraka

Hahahhahaha Tena bora unywee kubwa sio vile vidogo cha kukushaur uwe unadangia konyagi Kwa uchungu ule haiwez kuisha haraka
 
Huu Uzi sidhani kama unauhusiano na hiki lkn ungeweka link ingekuwa bora
 
Ungeanzisha thread yako dear, mana hapa pombe huku teknolojia tushike lipi
 
Hahahhahaha Tena bora unywee kubwa sio vile vidogo cha kukushaur uwe unadangia konyagi Kwa uchungu ule haiwez kuisha haraka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss nakugawa. Au adangie Bavaria beer yenye alcohol ile. Dadadeq ataona Masaa ndio hayaenda bia iko pale pale. Atamwaga mwenyeweeeeee
 
Na ukidangia konyagi watu watakuogopa jaman ukidangia savvana unaonekana tajir sjui udangie Kilimanjaro nayo ikiwa ya baridi inateremka fasta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dangia balimi basi
 
Hii si sawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…