Bia ya Pilsner yauzwa 1000 Bukoba, watu wamegaili kunywa soda, wanameza bia tamu.

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF

Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kuwanunulia nyagi, hawataki kabisa.

Hongela sana SBS kwa kuleta burudani bariiidi bukoba
 
Haya ndio maendeleo sasa, yaani hapa ndipo ninapo isifia siaiem kwa kuleta maendeleo kwa vijana kuchakarika kama mama alivyosema jana...[emoji23][emoji1787]
Yaani vijana wameachana na nyagi wanapiga tu plisner
 
Wana JF

Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kiwanun7liq nyagi, jawataki kabisa.

Hongela sana SBS kwa kuleta burudani bariiidi bukona
UKIMWI vp hapo Bukoba? Matumizi ya ARV je?
 
Bukoba ya kumi na tano kwa sasa ni kama hakuna ukimwi. Ukimwi uliletwa na gongo nyingi kwa sasa watu wanatambaa na bia ya buku wanajitambua. Ukimwi huko dar moshi arusha

Mwandiko kwa kiasi fulani umethibitisha.Kura biyaaa!
 
Bukoba kuna wanywaji aiseee hadi kwenye misiba wanaagiza makreti ya pombe na kuna wengine wanapiga pombe ili walie sana kwenye misiba.
Ujio wa pombe hiyo ya buku utaharibu jamii hiyo ambayo tayari ni kitu cha kawaida kuona wadogo kwa wakubwa wakiyumbayumba barabarani
 
Weee wale wajanja hawanywi kifara ndio maana kwa sasa mijengo ya maana imeshamili kule
 
Bukoba ya kumi na tano kwa sasa ni kama hakuna ukimwi. Ukimwi uliletwa na gongo nyingi kwa sasa watu wanatambaa na bia ya buku wanajitambua. Ukimwi huko dar moshi arusha
SBL wamejenga kiwanda cha bia Bkb?
 
Back
Top Bottom