mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Yaani vijana wameachana na nyagi wanapiga tu plisnerHaya ndio maendeleo sasa, yaani hapa ndipo ninapo isifia siaiem kwa kuleta maendeleo kwa vijana kuchakarika kama mama alivyosema jana...[emoji23][emoji1787]
UKIMWI vp hapo Bukoba? Matumizi ya ARV je?Wana JF
Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kiwanun7liq nyagi, jawataki kabisa.
Hongela sana SBS kwa kuleta burudani bariiidi bukona
UKIMWI vp hapo Bukoba? Matumizi ya ARV je?
Best Vip,?Haya ndio maendeleo sasa, yaani hapa ndipo ninapo isifia siaiem kwa kuleta maendeleo kwa vijana kuchakarika kama mama alivyosema jana...[emoji23][emoji1787]
hahaha ukienda Muleba kule, boxi tupu za ARV zinazagaa kama pipi kwa mangiMatumizi ya ARV je?
Mwandiko kwa kiasi fulani umethibitisha.Kura biyaaa!Wana JF
Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kiwanun7liq nyagi, jawataki kabisa.
Hongela sana SBS kwa kuleta burudani bariiidi bukona
Tunachangia pato la taifa ebyehatariMsije baadae mkalalamika km Rombo wanaume hamna
Weee wale wajanja hawanywi kifara ndio maana kwa sasa mijengo ya maana imeshamili kuleBukoba kuna wanywaji aiseee hadi kwenye misiba wanaagiza makreti ya pombe na kuna wengine wanapiga pombe ili walie sana kwenye misiba.
Ujio wa pombe hiyo ya buku utaharibu jamii hiyo ambayo tayari ni kitu cha kawaida kuona wadogo kwa wakubwa wakiyumbayumba barabarani
Haya ndio maendeleo sasa...[emoji1787][emoji23]Yaani vijana wameachana na nyagi wanapiga tu plisner
Full mzuka yaani. Juzi palikuwepo senene Festival usipime kabisa,watu nyomi Ruge alitoa maroli kumi yakaisha siku mbiliKuna haja ya kuhamia bukoba hapa gambeee pale matokeee
SBL wamejenga kiwanda cha bia Bkb?Bukoba ya kumi na tano kwa sasa ni kama hakuna ukimwi. Ukimwi uliletwa na gongo nyingi kwa sasa watu wanatambaa na bia ya buku wanajitambua. Ukimwi huko dar moshi arusha
Ukipiga matoke na sato pombe kwishneiMsije baadae mkalalamika km Rombo wanaume hamna