Wataisoma hata kesho!Unahisi hao tbl wanasoma post yako mda huu?
hakika hakuna ubishi....atakua kalewa huyu
Hii ni kweli kabisa mkuu,TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta.
Kakagueni niko Mbezi Beach hizi bia na fanyeni uchunguzi.
Tuvumiliane tu Wakuu,Hii ni kweli kabisa mkuu,
Wiki kama tatu zimepita nilikunywa safari ndogo nikapata ladha tamu kama ya soda ikajiuliza hii bia vipi, nikahisi imechanganywa na sprite au nini?
Nikacheki kama imefloti ikawa poa tu lkn ladha ilikuwa tamu.
Sasa ndiyo nimepata picha halisi, ile ni Reds