MREJESHO:
Kwenye saa sita kasoro, mhudumu mmoja mrefu, mwembamba, mweusi mwenye kinundu (apple) shingoni na sauti nzito amefanikiwa kupereka mzigo ndani kwa ajili ya mgegedo! hii ni baada ya kukabidhi 10,000 yake kwa kaunta! Mida ya saa nane kasoro ndipo wamerejea huku binti wa watu ni kwikwi tu! Amekuwa kama mtoto vile huku akitamka "J umenifanyia hivi, ipo siku" [emoji26][emoji26]
Binti wa watu amekuwa hapo kaunta kasimama, ndipo mwanababa mmoja kaingia na rafiki zake wawili mida hii, kuuliza, kaunta kasema anadaiwa laki moja ya bia, kanywa na mpenzi wake kisha kakimbiwa! (kaunta kaupiga wajuu)
Baba huyo mwenye kitambi chake kamhesabia kaunta pesa yake, laki moja! kisha kamwambia mtoto, "kaingie kwenye gari tuondoke, ntakurejesha asubuhi hapa", kawaaga rafiki zake kuwa wataonana asubuhi kwa maongezi zaidi
Gari hilo ndo linaondoka hivi, na mimi naelekea nyumbani taratibu!