Kuna wakati niliwahi kuona bia za kupima kwenye glasi zinazohifadhiwa kwenye mitungi (kegs). Hivi siku hizi hazipo tena? Glasi ilikuwa inauzwa sh 500. Ingesaidia watu waache kunywa mataputapu.
Kenya zipo sana watu waliokuwa wanauza pombe haramu waliacha wakawa wanauza Senetor kegs beer. Huku Arusha kuna kampuni ndogo inatengeneze draft /drought beer lakini bei yake kwa glasi mlalahoi hawezi kumudu.