Kwa hiyo breweries waliamua kuachana nazo?Tuko uchumi wa kati bob,pombe za kupima kwa jero jero hazina wateja.
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuu?
Tunalichukua, tutajadili kwenye vikao vyetu kisha mtaona mabadiliko sokonKuna wakati niliwahi kuona bia za kupima kwenye glasi zinazohifadhiwa kwenye mitungi (kegs). Hivi siku hizi hazipo tena? Glasi ilikuwa inauzwa sh 500. Ingesaidia watu waache kunywa mataputapu.Kenya zipo sana watu waliokuwa wanauza pombe haramu waliacha wakawa wanauza Senetor kegs beer. Huku Arusha kuna kampuni ndogo inatengeneze draft /drought beer lakini bei yake kwa glasi mlalahoi hawezi kumudu.
Mmh unakunywa hizo acha uwongo bwanaMi nashauri zirudi....!!Kitoko,Charger na Shmha zinatuua