Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 200
Wadau wa JF, natumaini mko vyema kiafya na mnaendelea kusukuma gurudumu la maisha. Naombeni msaada wa mawazo hasa katika biashara hii ya madini, niko mkoani morogoro na nina Tsh 3,000,000, nimefikiria biashara ya kufanya lakini sijapata maamuzi bado, mwanzoni nilifikiria biashara ya boda boda, lakini sasa nimejiwa na wazo la biashara ya madini japo kwa small sclae,
Je naweza kufanya hiyo biashara kwa kiasi hiko cha pesa? na je nini risk za biashara hii? na namna gani unaweza kupata mzigo na wapi hasa soko lipo? mimi najua soko ni kwa sonara tu, je kuna wateja wengine wa bidhaa hii zaid ya sonara?
msaada wenu wadau! vijana tunajitahidi kujikomboa na janga la ajira