Zipo sababu nyingi za kimazingira zinazoweza kutumika, kujua mwelekeo wa kibiashara utakuwaje kwa mwaka husika na kuendelea.
Sababu au viashiria hivi huitwa MICRO & MACRO ENVIRONMENTS. Kwa pamoja sababu hizi, zinatuwezesha kujua mwelekeo wa kibiashara kwa mwaka husika.
Na kwa kuzingatia hili, huku tukiwa ndio kwanza tupo siku ya pili toka mwaka wa 2025 uanze, nimekuchambulia biashara 10 zinazotazamiwa kufanya vizuri zaidi mwaka huu.
Hapa nitaweka maelekezo kidogo kulingana na namba za hapo juu, kwenye chapisho lenyewe.
1. Graphic designing & printing, kila siku inafanya vizuri, lakini mwaka huu itaathiriwa zaidi na siasa. Hivyo itakuwa na wateja wengi zaidi maana ni mwaka wa uchaguzi.
2. Event services. Hii inatengeneza mnyororo mkubwa sana wa thamani, kuna djs, sound system, mcs, wapambaji nk. Kwa sababu inategemewa mzunguko wa pesa kuwepo mwaka huu, basi watoa huduma za matukio ni mwaka wao huu, ukiongeza kuoa na kuolewa ndio basi tena.
3. Teknolojia, matajiri wengi sana duniani, utajiri wao umetokana na uvumbuzi kwenyw tenkolojia. Huu ni mwaka ambao watu wanahitaji kurahisishiwa zaidi kazi, hivyo teknolojia itafanya vizuri zaidi.
4. Vifaa vya ujenzi. Kuna maeneo ya kimkakati ili uweze kufanya biashara hii, hasa maeneo ambayo ujezi ndio umepamba moto. Ni wewe tu uchague uuze tofali, vifaa vya finishing, au vifaa kufanyia set up za maji, vyoo, nk.
5. Mazao ya kilimo. Hii ni game changer kabisa kama utaamua kuingia kwenye mnyororo wake wa thamani. Hapa tuna uvuvi, ufugaji na mazao. Chagua unataka kukaa wapi, kulima, kununua au kuongeza thamani.
6.Huduma za kifedha. Kukopesha kwa maana ya bank ndogo ndogo, kubadilisha pesa, miamala ya fedha kupitia simu, bank nk. Mwaka huu pesa nyingi itakuwa cashless.
7. Real estate. Kulingana na ongezeko kubwa la watu mijini, biashara hii itafanya vizuri sana mwaka huu na itaenda mpaka 2027 kipindi cha michuano ya kombe la africa hapa nyumbani.
8. Biashara ya pombe. Hii ni biashara ambayo haina msimu, japo kuna kipindi inakuwa juu zaidi. Sasa mwaka huu itakua zaidi.
9. Urembo wa ngozi (cosmetics) Hii ndio biashara inayokua kwa kasi ya ajabu.
10. Home appliances & decor.