Biashara ambazo hali ishakuwa mbaya kipindi hichi cha Corona

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
• Mahoteli

• Usafiri wa Anga

• Kumbi za mikutano

• Kumbu za Sherehe

• Utalii

•Stationary

• Shule za Private

• Biashara ya Catering

• Daladala

• Betting, Vibanda umiza

• Maduka yaliyo sehemu zenye misongamano mjini napo hali sio poa watu hawatembei sana mjini kwa sasa

Ongeza nyingine na tupeane updates za huko mlipo hali ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Siku hizi hata wale wa kuwapiga picha za location hawapo. Hali ni mbaya.
 
vibanda umiza Acha tu maumivu yake Mungu tu ndie ajuae.

Dala Dala watoe,hao wakikosa hesabu ni uzembe wao na kutojiongeza.
 
Hivi dadapoa wanatumia sanitizer kuwapaka wateja wao mwili mzima kujikinga na mnyama Covide?
Wateja wao mnaweza kutoa ufafanuzi maana kuna ubishi mkubwa sana hapa kijiweni kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…