Nimependa comment na mawazo yakoBinadamu kama huwezi kubadilika huwezi kufanikiwa kamwe!
Kuna biashara unatakiwa kuzifanya kama sehemu ya kujifunza na kupata uzoefu.
100%, ukweli ni kuwa hakuna biashara moja inayoomfanya mtu atoboe, unaanza na moja kwanza ,the unaenda nyingine hatua kwa hatuaNi biashara za kuanzia, kama una muendelezo unaenda hatua ingine kwa kile unachopata kuanzia kwenye hicho kidogo.
Tatizo la mtu kutoendelea ni kukosa nidhamu hata ya kidogo alichonacho
Ni kweli kabisa mkuu, na kinachoweza fanya mtu awe na progress ni nidhamu na muendelezo kwenye kile ameanza, changamoto pia ya watu niliyo ona ni ile mtu unaanza mala unaacha unahamia kwingine bila mipangilio100%, ukweli ni kuwa hakuna biashara moja inayoomfanya mtu atoboe, unaanza na moja kwanza ,the unaenda nyingine hatua kwa hatua
Safari ya mafanikio ni mjumuiko wa mambo madogo madogo mengi sana. Mtu anaweza kuanzia kwenye chips akajiongeza na kukuza biashara yake ikakua. Cha muhimu ni nidhamu kwa kile kidogo unachopata. Tatizo mtu akianza kuuza chips labda za 30k kwa siku ataoa, atataka kununua plot na kuanza ujenzi. Mwishowe anaanguka au kuwa mtumwa wa milele wa hizo chips.
Nimependa ulivyopenda comment yakeNimependa comment na mawazo yako
Daah!Safari yako ni ndefu sana
Namba 4 inatafuta nini hapo?Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
ChaiHii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!