Uzuri ukweli umeshaujua kwahivyo ni kuongeza umakini tu, miaka 16 ni mingi wengine tulikuwa shule, means technology ilikuwa nyuma kidogo tofauti na sasa!Miaka 16 iliyopita huko 🤣
Nasema hii teknolojia inaharibu sana uhalisia na inadhulumu matarajio. Kile unachokiona kwenye picha na kile halisi lazima uvurugike aisee
Yeah 😄 na ulimbukeni nao ulikuwa unachangia...Uzuri ukweli umeshaujua kwahivyo ni kuongeza umakini tu, miaka 16 ni mingi wengine tulikuwa shule, means technology ilikuwa nyuma kidogo tofauti na sasa!
Huwezi kudhaau hizo biashara Mkuu, nimegundua kila kitu kina umuhimu wake aisee nakumbuka nilikuwa maeneo fulani nikawa nahangaika kutafuta huduma ya mobile money tena ni hapa hapa jijini lakini ukikuta kibanda cha huduma za kifedha unaweza ukapita na ukapuuza tu subiri siku uwe na uhitajiD
Dharau Gani Chief
Mfano mtu anauza Vocha na kuchoma mahindi ni lini ataendesha ata IST? Tusijipe matumaini hewaHuwezi kudhaau hizo biashara Mkuu, nimegundua kila kitu kina umuhimu wake aisee nakumbuka nilikuwa maeneo fulani nikawa nahangaika kutafuta huduma ya mobile money tena ni hapa hapa jijini lakini ukikuta kibanda cha huduma za kifedha unaweza ukapita na ukapuuza tu subiri siku uwe na uhitaji
Dogo tena?? Kivipi mkuuuko makini sana dogo
Namba 5 itoeHii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Boda boda unatoboa,kuna jirani yangu ni bodaboda kajenga kajumba ka vyumba viwili,hivyo ni zaidi ya kula kama alivyosema muanzisha uzi
Ulizotaja hapo hakuna hata biashara moja.Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana wamepigwa za uso)
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
NB; Kutoboa maana yake ni kuwa na levo ya maisha standard ie kula chakula kizuri, kuishi sehemu nzuri, kusomesha watoto shule nzuri, usafiri wa kukufikisha sehemu moja na nyingine, kuweza kumudu shida mbalimbali bila kulialia.
Asikudanganye mtu.....wengi nimeshuhudia wameanzia hapo na leo ni matajiri wakubwa sana....Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana wamepigwa za uso)
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
NB; Kutoboa maana yake ni kuwa na levo ya maisha standard ie kula chakula kizuri, kuishi sehemu nzuri, kusomesha watoto shule nzuri, usafiri wa kukufikisha sehemu moja na nyingine, kuweza kumudu shida mbalimbali bila kulialia.
hahhahahhaSasa asioe kwnn aendelee kuzini
Yap....ni stepping stone.....si sawa na kukaa bure.Ila hawakutoboa kwa kazi hizo
Chips debe moja unatoa sahani 28 hadi 35Toa sababu