Biashara baina ya mataifa ya EAC, Kenya imefanya zaidi ya mara mbili ya Tanzania

What did I say? Please read my comments
You are too slow, try to keep up..That train left the station 10 comments ago. Sorry wount dwell on EAC Trade that is less than 10% of Both countries Total Trading numbers of which is a hands down TZ export market. Shameful that landlocked UG is also making EAC (especially kenya) Its dumping ground.
 

Hivi sijawahi kuona peanut butter brand ya Kenya, huku zinatengenezwa na housewives business, very cheap
 
Wewe uliesema Kenya inaiuzia Tanzania siagi ya karanga kwa bei ghali Em jaribuni kuangalia bei ya bidhaa hiyo Tanzania na huko Kenya, sababu mmekua mkiishi kwa kujidanganya sana, ujue tu Tanzania inaongoza Africa kwa kulima karanga za aina nyingi sana







 
👏 👏 👏
 
Kenya unga wa ugali shida, sembuse siagi itokanayo na karanga labda ya miraa!
 
Kenya unga wa ugali shida, sembuse siagi itokanayo na karanga labda ya miraa!
LOL me mwenyewe nimeshangaa eti siagi ya karanga itoke Kenya wakati huko SIDO mpaka wanawaambie watu wasiendelee kuzalisha upya sababu ni biashara inayofanywa karibu na wasindikaji wote wa bidhaa

Machine yake SIDO wanauza laki 8.
 
They don't know anything about value addition. In short, umewaambia kwamba akili zao zinalala usingizi wa ajabu. They produce raw materials but do not know what to do with them. Being the clever people that we are, we see a business opportunity, buy those raw materials (which am told are dumped here 😂 😂 😂) then we use the same raw materials to make finished products which we later sell to them at a higher price. Who's clever between these two people? And they still wonder why they gap between us and them is getting even bigger!!
 
LOL you live 1970s Tanzania, not the current one I know
 
LOL you live 1970s Tanzania, not the current one I know
 
Unaifahamu Tanzania ya mwaka 1980 sio hii ya sasa.
 
You sir are the master of illogical leaps of thought! You start with eac then i get you there with 2019 data after that you jump to the world in which case I still get you there. Then you suddenly jump to illogical conclusions made up in your sickly head! Come on stick to selling oranges, macroeconomics is not your forte
 
You compare a village women's group in Tanzania to a factories that have hundreds of employees in Nairobi,Ruiru, Machakos? Are you insane?
 
Kingereza kumbe kigumu jamani, mwenzako kasema tunanua raw materiala halafu tunawauzia products..ambapo rawamaterial tunanunua cheap hku products tukiwauzia ghali...

Maskini kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…