Biashara baina ya mataifa ya EAC, Kenya imefanya zaidi ya mara mbili ya Tanzania

viwanda vidogo vidogo kama hivi ambavyo vinachipukia kwa wingi Tanzania ndio vitakuja kuwa viwanda vikubwa huko mbele.


Sasa hivi ndio viwanda,
Watanzania bana, basi ukileta hyo tafsiri yenu kuhusu viwanda hku upande wetu..itakua balaa
 

Wewe jamaa noma, ningependa kujua your career because man you're damn thorough, zwazwa tu ndio abishe zaidi ya hapa, nondo kama hizi ndio hufanya JF inakua tamu.
Naton Jr anazipita kimya kimya
 
WaΓ aaah 2014 Tanzania walikuwa sawa aje aiiii,,,what happened hadi wakashuka ivo?
 
Sasa hivi ndio viwanda,
Watanzania bana, basi ukileta hyo tafsiri yenu kuhusu viwanda hku upande wetu..itakua balaa
Ni kiwanda ndio, wewe unafikiri kiwanda lazima kitumie megawatts 90000 kwa siku?
Hivyo ni micro industry ambavyo ndio vingi hata China

Mfano wake ni huu
 
Using too many words to say Zero.Tz has a trade surplus with EAC where it exports its low quality low value goods like grade 3 maize. No one in EAC can buy Tz Gold & other high value products not to mention EAC trade is less than 5% of the total Trade
THIS IS THE Correct Apples to apples DATA Comparison:

Exports to GDP Ratio:
Tz- 19%
Ug- 18.5%
Ke- 13% ( Pathetic)

Imports to GDP Ratio:
Ug- 25.9%(Kwaida ya LDC ambayo haina factories)
Ke- 25% (Kuchezea ligi za ki-LDC)
Tz- 22.5% (Self sustaining developing economy)
 
Hii thread mbona imekua tamu hv...yani geza mpka unajaribu mbinu zote lkn wapi, ripoti inabaki kuwa vile vile kamwe haibadiliki[emoji122][emoji122]
 
Huu ndio ukweli japo wanajaribu kuandikia andikia makala ndefu ndefu ili waonekane wapo right kumbe ni pumba tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mambo hubadilika jomba, ripoti ya sai inasema tofauti...hyo ipeleke uliko itoa

Cheki ripoti ya import kenya, tena kutoka eac wala sio tanzania tuView attachment 1266051
Kipi kimepungua kwenye hivi mnavyoagiza kwa wingi? Halafu mimi siamini sana hizi takwimu za kwenye keyboard
 

Dude! Our GDP was $88 Billion last year while your GDP was $57 Billion.... That means our GDP is 54% more than yours!!!! Comparing with % doesn't mean sh!t as we are not comparable, Our 10% might as well be your 20 percent in terms of real money... Its like if you say Tz has a higher economic growth or exports/imports to GDP ratio than SA or Egypt when interms of absolute numbers, they export 10 times worth of goods than you do!
 
WaΓ aaah 2014 Tanzania walikuwa sawa aje aiiii,,,what happened hadi wakashuka ivo?
Kiburi na kujidanyanya eti tunawahitaji kuliko vile wanatuhitaji.... nakumbuka walikua wanapenda kuimba huu wimbo wakati walipoanza kutubania na kuharibu biashara EAC, sasa hao ndo wamepoteza zaidi, si wengine biashara zetu zimezidi kunoga
 
Kiburi na kujidanyanya eti tunawahitaji kuliko vile wanatuhitaji.... nakumbuka walikua wanapenda kuimba huu wimbo wakati walipoanza kutubania na kuharibu biashara EAC, sasa hao ndo wamepoteza zaidi, si wengine biashara zetu zimezidi kunoga
Exactly. We will continue to lap those who stand in the way of the market!
 
That Big GDP does not help kenya export more goods neither does it help kenya import less.
The only thing it fueling the GDP is $60B loans( 4 times more than Tz).
That is why kenya GDP is HotAir, useless statistic. Mambo kwa ground ni different
 
That Big GDP does not help kenya export more goods neither does it help kenya import less.
The only thing it fueling the GDP is $60B loans( 4 times more than Tz).
That is why kenya GDP is HotAir, useless statistic. Mambo kwa ground ni different
So why did you say what matters the most the Export/Import to GDP ratio??? Didn't you say "This THIS IS THE Correct Apples to apples DATA Comparison: "

Don't you see the Export to GDP ratio is dependent on that GDP figure that you have said is 'hot air'????? So does it mean the comparison you posted is also hot air???

BTW you didn't show where you got those percentages from and from which year, but anyway

that low Export to GDP % for Kenya amounts to $6.2B in 2017




While that high % for Tanzania amounts to $5.3Billion (which is $1B less than Kenya's exports, So yes, Indeed kwa ground vitu ni different!)




------------
Mind you, a big chunk of Tanzania's exports is gold (i.e a commodity that would still be exported even if the whole of Tanzania was 99% populated by monkeys πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ because the gold would still be lying underneath the ground) While in Kenya the biggest Forex earners are sectors that depend on the people (i.e without the people no one will plant of harvest anything)


-----------------------

Alafu hapo uliposema our GDP is fueled by the $60B debt, I'm not an economist but I hope you do know that taking a loan does not directly add value to the productivity of the country.... It is the profits that are made from the investments of that loan that will be counted as part of the GDP or that year.
 
Kitu kinachoongoza kuuzwa nje chenye percentage kubwa kwa umoja wake ni gold ndio

Lakini vitu vingi vinavyoongoza kuuzwa nje na kwa umoja wao ni percentage kubwa kuliko gold ni mazao angalia kuna aina nyingi ya mazao ambao yanalimwa na wananchi wa kawaida kwa wingi ndio yanaongozwa kuuzwa nje thus inclusive economy

Ninyi mazao yenu yanayoongoza kuuzwa nje ni chai na maua na kahawa ambavyo vyote hivyo ni monopolised business and most whites
 

Tufanye comparisons kwenye perimeters za exports and imports kati ya Tanzania na Kenya

Export
Tanzania : $5.3 Billion

Kenya : $6.2 Billion

Kenya imeizidi Tanzania $900 million export value

Import
Tanzania : $8.1B

Kenya : $17.1B

Kenya imeizidi Tanzania $9 Billion import value (2.2 times of Tanzania)

Mimi sio mchumi lakini hapa Tanzania ipo juu kwenye urari wa biashara times billion of Kenya, huwezi kuuza nje 100 halafu hapo hapo unanua nje 300 ujiite kwamba upo vizuri, no


Imports

In 2017 Tanzania imported $8.17B, making it the 102nd largest importer in the world. During the last five years the imports of Tanzania have decreased at an annualized rate of -6.7%, from $11.6B in 2012 to $8.17B in 2017. The most recent imports are led by Refined Petroleum which represent 16.6% of the total imports of Tanzania, followed by Packaged Medicaments, which account for 4.1%.

Imports

In 2017 Kenya imported $17.1B, making it the 75th largest importer in the world. During the last five years the imports of Kenya have increased at an annualized rate of 3.7%, from $14.2B in 2012 to $17.1B in 2017. The most recent imports are led by Refined Petroleum which represent 14.2% of the total imports of Kenya, followed by Palm Oil, which account for 3.17%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…