Biashara bana'

Biashara bana'

Joined
Aug 11, 2013
Posts
88
Reaction score
7
Ivi unafanya biashara na umemtumia mtu kukusaidia na umemuahidi utamlipa bahati mbaya umepata hasara ujapata faida na umekata mtaji na uliemtuma anadai malipo inakuaje hapo?
 
hasara ni yako, malipo yake mpe, labda kama ilikuwa partnership!
 
Back
Top Bottom