TWALIBU MAKOSA Member Joined Aug 11, 2013 Posts 88 Reaction score 7 Jul 12, 2014 #1 Ivi unafanya biashara na umemtumia mtu kukusaidia na umemuahidi utamlipa bahati mbaya umepata hasara ujapata faida na umekata mtaji na uliemtuma anadai malipo inakuaje hapo?
Ivi unafanya biashara na umemtumia mtu kukusaidia na umemuahidi utamlipa bahati mbaya umepata hasara ujapata faida na umekata mtaji na uliemtuma anadai malipo inakuaje hapo?
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Jul 12, 2014 #2 hasara ni yako, malipo yake mpe, labda kama ilikuwa partnership!