MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Jaman wanajamvi habarini za humu; naombeni maelezo na habari yeyote na mambo ya kuzingatia kwa mtu anayeifahamu baraidi vizuri tayari.
Nina mpngo wa kuhamishia biahsra zangu ndogo ndogo bariadi duka la vitu vya kawaida vya matumizi ya kila siku na Hardware moja.
Taarifa yeyote unayodhani ni muhimu kwangu tafadhali.

Last edited by a moderator: