MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Ndo wapi huko?
Nyuyoko ndo wapiNi Jirani na kijiji kinaitwa Gambosh ambach Mchna ni Nyumba za nyasi lakini usiku ni Maghorofa kama nyuyok
Jaman wanajamvi habarini za humu; naombeni maelezo na habari yeyote na mambo ya kuzingatia kwa mtu anayeifahamu baraidi vizuri tayari. nina mpngo wa kuhamishia biahsra zangu ndogo ndogo bariadi duka la vitu vya kawaida vya matumizi ya kila siku na Hardware moja. Taarifa yeyote unayodhani ni muhimu kwangu tafadhali.
Nyuyoko ndo wapi
No simaanishi mambo ya ushirikinaJombaa pale nimepita Njia tu ila kuna dada mmoja rafiki yangu anafanya kazi kule kama upo serious nitakuunganisha naye. pale ni Jirani sana na Gambosh
Asante sana kaka kwa ushauri mzuriMkuu,binafsi sijawahi kufika Bariadi lkn inavyosemekana Bariadi ni kitovu cha kibiashara kwa kanda ya ziwa
Pia,wenyeji inavyosemekana wanatumia sana vizizi (ndagu)
Nakushauri uende kwanza wewe nwenyewe ukayaone mazingira kabla ya kuhamisha biashara zako!
Thank you for constructive advice... Barikiwa sanaBariadi ni Makao Makuu ya Mkoa wa Simiyu ni sehemu ambayo inakuwa kwa kasi kwani Serikali inapeleka watu wengi kwa ajili ya kuimarisha Mko huu mpya. Fursa za kibiashara zipo kwa kwa sasa wageni ni wengi na swala la kutumia ndumba hakuna kitu kama hicho.
Asante sana kwa maelezo mazuriKwa biashara ya Hardware inalipa sana kwani vitu vya ujenzi vinauzwa gharama kubwa kulinganisha na Mwanza na Shinyanga. Kwa biashara hii unapaswa uje na Mtaji Mkubwa kidogo kwa kuleta product tofauti na zilizo huku. Kwa kuwa ni Makao Makuu Mapya ya Mkoa kasi ya ujenzi hipo juu sana, hivyo basi soko lipo ndugu.
Okay karibu sana Mkuu!Nipo pande hizi mwaka karibia wa watano.Asante sana kwa maelezo mazuri