Biashara Biashara Tujuzane Hapaa

Biashara Biashara Tujuzane Hapaa

UNAKUBALIANA NA HILI


  • Total voters
    10
  • Poll closed .

Denis Gregory

Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
92
Reaction score
108
Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi

Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara inayokua haraka.

Maelezo ya Biashara:

Aina ya Biashara: Duka la vipuri vya pikipiki na matairi.

Mahali: Mapinga Bagamoyo

Vifaa na Mali Vilivyopo:

Rafu, bidhaa zilizopo (vipuri na matairi).

Bei ya Kuanzia: Tsh 3,350,000 Mazungumzo Yapo


Kwa maelezo zaidi au kutembelea duka, tafadhali nipigie simu au nitumie ujumbe kupitia namba 0755102559-0679102559
 
Back
Top Bottom