Biashara China (ushauri)

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4,247
Reaction score
6,578
Nataka kuagiza mzigo wa sabuni,lotion kutoka china,naomba kujuzwa kuhusu utaratibu wa kupata import permits.Ina bidi niombe Tfda na tbs au taasisi moja tu kati ya hizi mbili?
Nime omba test certificates kutoka kampuni 2 za kichina lakini certificates za zime andikwa kwa kichina poja na mihuri yake,je tfda,tbs wata zitambua?
asanteni sana
 
Www.alibaba.com.tafuta watu wanaouza utasafiri uende huko uone na utie Kwenye container na watakusaidia kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…